language
(Longhorn Publishers and Worldreader, Feb. 20, 2017)
Mashimo ya Mfalme Sulemani ni kitabu usichoweza kukiweka chini hadi umeisoma hadithi nzima. Bila shaka kitawasisimua wasomaji wenye umri mdogo na mkubwa pia kwa jinsi kilivyotungwa kwa ufundi mkubwa.