Browse all books

Books with title Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sleep Tight, Little Wolf

  • Sleep Tight, Little Wolf – Lala salama, mbwa mwitu mdogo

    Ulrich Renz, Barbara Brinkmann, Sefa Agnew, Faithful Haule, Gemma Martin, George Aclay Makasi, Pete Savill

    Paperback (Sefa, Aug. 5, 2018)
    Bilingual children's book, English – Swahili, with audiobook for downloadTim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends… "Sleep Tight, Little Wolf" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages. ► Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks in both languages.NEW: With pictures to color! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.Kitabu cha watoto cha lugha mbili, Kiingereza – Kiswahili, na audiobook kwa kupakuliwaTim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo. ► Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili.MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
  • Sleep Tight, Little Wolf – Lala salama, mbwa mwitu mdogo

    Ulrich Renz, Barbara Brinkmann, Sefa Agnew, Faithful Haule, Gemma Martin, George Aclay Makasi

    eBook (Sefa Verlag, March 1, 2019)
    Bilingual children's picture book (English – Swahili), with audioTim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends… "Sleep Tight, Little Wolf!" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.♫ Listen to the story in both languages, read by native speakers!► NEW: With pictures to color! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kiingereza – Kiswahili), na audiobookTim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili!► MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
  • Lala salama, mbwa mwitu mdogo – Sleep Tight, Little Wolf

    Ulrich Renz, Barbara Brinkmann, Pete Savill

    language (Sefa Verlag, Nov. 1, 2019)
    Kitabu cha watoto cha lugha mbili (Kiswahili – Kiingereza), na audiobookTim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.♫ Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili!► MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.Bilingual children's picture book (Swahili – English), with audioTim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends… "Sleep Tight, Little Wolf!" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.♫ Listen to the story in both languages, read by native speakers!► NEW: With pictures to color! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
  • Sleep Tight, Little Wolf – Lala salama, mbwa mwitu mdogo. Bilingual children's book

    Ulrich Renz, Barbara Brinkmann

    Paperback (Sefa, Oct. 17, 2015)
    Bilingual children's book (age 2 and up)Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends… "Sleep Tight, Little Wolf" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of languages. www.childrens-books-bilingual.comBilingual children's book (age 2 and up)Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je , labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... "Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50. Na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwekanazo. www.childrens-books-bilingual.com