Find similar books

Samuel Mulokwa Masawi

Manywele

language (Longhorn Publishers and Worldreader Feb. 20, 2017)
Hadithi hii, ilioandikwa katika mtindo wa hekaya, inasimulia kinagaubaga maovu ya uhasama wa ukabila. Kitabu hiki, chenye kuchangamsha na vibonzo maridadi, kinamchukua msomaji hadi mkoa mwa magharibi wa Kenya. Msomaji hachelewi kupata ujumbe uliomo.