Ulrich Renz, Barbara Brinkmann, Sefa Agnew, Faithful Haule, Gemma Martin, George Aclay Makasi, Pete Savill
Sleep Tight, Little Wolf – Lala salama, mbwa mwitu mdogo
Paperback
(Sefa Aug. 5, 2018)
Bilingual children's book, English – Swahili, with audiobook for download
Tim can't fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot him outside? Tim heads out all alone into the night – and unexpectedly encounters some friends…
"Sleep Tight, Little Wolf" is a heart-warming bedtime story. It has been translated into more than 50 languages and is available as a bilingual edition in all conceivable combinations of these languages.
► Listen to the story read by native speakers! Within the book you'll find a link that gives you free access to audiobooks in both languages.
NEW: With pictures to color! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
Kitabu cha watoto cha lugha mbili, Kiingereza – Kiswahili, na audiobook kwa kupakuliwa
Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki...
"Lala salama, mbwa mwitu mdogo" ni hadithi ya kusisimua wakati wa kulala. Imetafsiriwa katika lugha zaidi ya 50 na inapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.
► Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili.
MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.
- Series
- Sefa Picture Books in two languages
- ISBN
- 3739906332 / 9783739906331
- Pages
- 40
- Weight
- 5.6 oz.
- Dimensions
- 8.5 x 0.1
in.